Tofauti kati ya manukato ya wanamme na wanawake

Swali: Ni ipi tofauti kati ya manukato ya mwanamme na manukato ya mwanamke?

Jibu: Manukato ya mwanamme ni yale yenye kudhihiri harufu yake na ikajificha rangi yake. Manukato ya mwanamke ni yale ambayo imedhihiri rangi yake na ikajificha harufu yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (21)
  • Imechapishwa: 27/08/2021