Swali: Ni ipi tofauti kati ya dufu na ngoma?
Jibu: Ngoma inajulikana. Baadhi ya wanazuoni wamesema kuwa ni sawa na ngoma. Hata hivyo dufu ndilo linaloruhusiwa na kilicho zaidi ya hilo hakiruhusiwi. Dufu linaruhusiwa kwa wanawake, nalo ni chombo cha pande moja kinachotengenezwa kwa ngozi au kitu kama hicho. Hakina pete za chuma wala vipande vya chuma vinavyotoa sauti. Dufu hupigwa na wanawake. Ama ngoma, kuna Hadiyth inayokataza. Vivyo hivyo ala nyingine zote za muziki. Vyote ni vitu vilivyoharamishwa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1196/الفرق-بين-الدف-والطنبور
- Imechapishwa: 07/02/2026
Swali: Ni ipi tofauti kati ya dufu na ngoma?
Jibu: Ngoma inajulikana. Baadhi ya wanazuoni wamesema kuwa ni sawa na ngoma. Hata hivyo dufu ndilo linaloruhusiwa na kilicho zaidi ya hilo hakiruhusiwi. Dufu linaruhusiwa kwa wanawake, nalo ni chombo cha pande moja kinachotengenezwa kwa ngozi au kitu kama hicho. Hakina pete za chuma wala vipande vya chuma vinavyotoa sauti. Dufu hupigwa na wanawake. Ama ngoma, kuna Hadiyth inayokataza. Vivyo hivyo ala nyingine zote za muziki. Vyote ni vitu vilivyoharamishwa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1196/الفرق-بين-الدف-والطنبور
Imechapishwa: 07/02/2026
https://firqatunnajia.com/tofauti-kati-ya-dufu-na-ngoma/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket