Swali: Vipi kuhusu kufanya Tayammum kwa mchanga?

Jibu: Kwa mchanga na vinginevyo, kulingana na kile atachopata:

فَاتَّقُوا اللَّـهَ مَا اسْتَطَعْتُمْ

”Mcheni Allaah muwezavyo.”[1]

[1] 64:16

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27524/هل-يجوز-التيمم-بالرمل
  • Imechapishwa: 11/04/2025