Tayammum kabla ya kuingia Ihraam

400 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kufanya Tayammum wakati wa kuingia Ihraam kutoka kwenye kituo kwa wale ambao hawana maji.

Jibu: Ni jambo haliko wazi, kwa sababu lengo ni twahara na usafi. Abul-´Abbaas (Rahimahu Allaah) amezindua juu ya hilo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 136
  • Imechapishwa: 21/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´