Swali: Lini inapita Talaka ya Sunnah?
Jibu: Talaka ya Sunnah inapita moja kwa moja ikiwa kafanya hivyo kwa khiyari yake. Ama ikiwa mwenye kutaliki kalazimishwa, haipiti. Ama ikiwa kafanya hivyo kwa khiyari na ni mwenye akili anajua Talaka na hakulazimishwa, inapita kwa Ijmaa´. Ama Talaka ya Bid´ah, wanachuoni wametofautiana.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: www.alfawzan.af.org.sa/node/100000
- Imechapishwa: 08/02/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket