Sio Jahmiyyah wenyewe wamesema kuwa Qur-aan imeumbwa. Mu´tazilah, Rawaafidhw na Khawaarij wamewafuata kwa hilo. Hata waliokuja nyuma Ash´ariyyah wamekuwa ni wenye kusema wazi ya kwamba Qur-aan hii iliyopo kwenye misahafu imeumbwa. Huu ni upotevu mkubwa na tunaomba kinga kwa Allaah. Mnaona kuwa Salaf wamemkufurisha yule mwenye kusema hivo.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaaswid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/340)
  • Imechapishwa: 26/08/2020