Swali: Nikiwa na haja kubwa ya mbwa wa ulinzi na siwezi kumpata kwa njia nyingine isipokuwa kumnunua. Je, katika hali hii yule muuzaji ndiye anapata dhambi?
Jibu: Hatufungui mlango huu. Kila mmoja atataka kuingia kupitia mlango huo. Haijuzu kumuuza mbwa. Mbwa anaweza kutumiwa pasi na kuuzwa. Mijibwa ni mingi. Tafuta mbwa kisha wewe mwenyewe mfunze.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
- Imechapishwa: 18/04/2021
Swali: Nikiwa na haja kubwa ya mbwa wa ulinzi na siwezi kumpata kwa njia nyingine isipokuwa kumnunua. Je, katika hali hii yule muuzaji ndiye anapata dhambi?
Jibu: Hatufungui mlango huu. Kila mmoja atataka kuingia kupitia mlango huo. Haijuzu kumuuza mbwa. Mbwa anaweza kutumiwa pasi na kuuzwa. Mijibwa ni mingi. Tafuta mbwa kisha wewe mwenyewe mfunze.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
Imechapishwa: 18/04/2021
https://firqatunnajia.com/tafuta-mbwa/