Tabdiy´ Ya Shaykh Rabiy´ Kwa Yahyaa al-Hajuuriy

Nimemsikia Shaykh wetu ´Abdul-´Aziyz bin Yahyaa al-Bura´iy akisema katika darsa moja alkhamisi tarehe tano Rabiy´ ath-Thaaniy 1435 – 2014-02-05 – yafuatayo:

“Tulikuwa na Shaykh Rabiy´ katika Hajj 1434 (2013) wakati aliposema:

“al-Hajuuriy ni shari zaidi kuliko Haddaadiyyah.”

Nikamuuliza Shaykh kama maneno haya yanazingatiwa kuwa ni Tabdiy´? Shaykh Rabiy´ akasema:

“Mimi namfanyia Tabdiy´ al-Hajuuriy.”

Shaykh [al-Bura´iy] amesema:

“Katika majlisi hiyo hiyo Shaykh Rabiy´ akasema kuwa al-Hajuuriy na wafuasi wake wameambukiwa na fikira za Khawaarij.”

Shaykh [al-Bura´iy] anasema kuwa alisema haya mbele ya:

Shaykh Muhammad al-Imaam.

Shaykh ´Abdullaah bin ´Uthmaan.

Shaykh Muhammad as-Sawmaliy.

Shaykh ´Uthmaan as-Saalimiy.

Imeandikwa na Rashaad bin ´Abdir-Rahmaan al-´Alawiy

Alkhamisi tarehe saba Rabiy´ ath-Thaaniy 1435/2014-02-07

Daar-ul-Hadiyth, Ib, Yemen

Kikao hichi kilikuwa kuamkia usiku wa nne Dhul-Hijjah 1434/2013-10-09

  • Mhusika: Rashaad bin ´Abdir-Rahmaan al-´Alawiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://olamayemen.com/index.php?article_id=7173
  • Imechapishwa: 18/01/2017