Swali: Watu wengi wanafunga kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa zile siku kumi. Je, kuna dalili inayothibitisha jambo hilo? [dropcap][/dropcap]
Ibn Baaz:
“Hakuna masiku ambayo matendo mema yanapendwa zaidi na Allaah ndani yake kama masiku haya kumi.”
Je, umeisikia Hadiyth hii?
Mwanafunzi: Ndio.
Ibn Baaz: Je, kufunga ni katika matendo mema au si katika matendo mema?
Mwanafunzi: Ndio.
Ibn Baaz: Basi inaingia pia.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21833/ما-الدليل-على-فضل-صيام-عشر-ذي-الحجة
- Imechapishwa: 08/07/2021
Swali: Watu wengi wanafunga kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa zile siku kumi. Je, kuna dalili inayothibitisha jambo hilo? [dropcap][/dropcap]
Ibn Baaz:
“Hakuna masiku ambayo matendo mema yanapendwa zaidi na Allaah ndani yake kama masiku haya kumi.”
Je, umeisikia Hadiyth hii?
Mwanafunzi: Ndio.
Ibn Baaz: Je, kufunga ni katika matendo mema au si katika matendo mema?
Mwanafunzi: Ndio.
Ibn Baaz: Basi inaingia pia.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21833/ما-الدليل-على-فضل-صيام-عشر-ذي-الحجة
Imechapishwa: 08/07/2021
https://firqatunnajia.com/swawm-pia-inaingia/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)