Swali: Kuna mtu amefanyiwa upasuaji ambapo akapitwa na swalah nyingi. Je, aziswali kwa pamoja baada ya kupona kwake au aswali kila swalah ndani ya wakati wake, kwa mfano Dhuhr iliyompita aiswali pamoja na Dhuhr ya sasa?
Jibu: Analazimika kuziswali kwa pamoja katika wakati mmoja, kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipokosa swalah ya ´Aswr katika vita vya Khandaq aliiswali kabla ya Maghrib[1]. Kwa hivyo ni lazima kwa mtu anapopitwa na baadhi ya swalah za faradhi aziswali kwa pamoja na asizicheleweshe.
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/222)
- Imechapishwa: 10/04/2026
Swali: Kuna mtu amefanyiwa upasuaji ambapo akapitwa na swalah nyingi. Je, aziswali kwa pamoja baada ya kupona kwake au aswali kila swalah ndani ya wakati wake, kwa mfano Dhuhr iliyompita aiswali pamoja na Dhuhr ya sasa?
Jibu: Analazimika kuziswali kwa pamoja katika wakati mmoja, kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipokosa swalah ya ´Aswr katika vita vya Khandaq aliiswali kabla ya Maghrib[1]. Kwa hivyo ni lazima kwa mtu anapopitwa na baadhi ya swalah za faradhi aziswali kwa pamoja na asizicheleweshe.
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/222)
Imechapishwa: 10/04/2026
https://firqatunnajia.com/swalah-zilizompita-mtu-baada-ya-operesheni/