Swali 273: Inajuzu kwa mwanamke kumwongoza katika swalah mwanamke mmoja? Wapi anasimama yule mwanamke mwenye kuongozwa?
Jibu: Inajuzu kwa mwanamke kuwaongoza wanawake wenzake. Atasimama katikati. Mwenye kuongozwa akiwa ni mmoja atasimama upande wa kuume wa yule anayemwongoza.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 104
- Imechapishwa: 07/09/2019
Swali 273: Inajuzu kwa mwanamke kumwongoza katika swalah mwanamke mmoja? Wapi anasimama yule mwanamke mwenye kuongozwa?
Jibu: Inajuzu kwa mwanamke kuwaongoza wanawake wenzake. Atasimama katikati. Mwenye kuongozwa akiwa ni mmoja atasimama upande wa kuume wa yule anayemwongoza.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 104
Imechapishwa: 07/09/2019
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-wanawake-wawili-wanaoswali-mkusanyiko/