Swali 199: Je, swalah ya mkusanyiko ni lazima kwa msafiri?

Jibu: Ikiwa ni mmoja, basi ni jambo la lazima. Lakini wakikuwa wawili au zaidi, basi hawalazimiki kuitikia adhaana, kwa sababu adhaana ni wito kwa wakazi.

200 – Nikamwambia Shaykh wetu: Maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

”Je, unasikia adhaana?”

Si inamkusanya mkazi na msafiri?

Jibu: Hapana. Siyo yenye kuenea.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 86
  • Imechapishwa: 19/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´