Swali 217: Mlemavu aliye juu ya kiti cha magurudumu analazimika kuajiri mtu wa kumsukuma kwa ajili ya swalah ya mkusanyiko?
Jibu: Hapana, si lazima kwake. Ni mwenye kupewa udhuru. Na akifanya hivo, basi Allaah atamlipa kheri.
218 – Je, haisemwi: “Kitu ambacho wajibu haukamiliki isipokuwa kwacho, basi nacho ni wajibu”?
Jibu: Huyu ni mlemavu. Anajikokota kwa kutambaa na anayejikokota kwa kutambaa si wajibu kuhudhuria [… wangeliiendea ijapo kwa kutambaa].
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 90-91
- Imechapishwa: 02/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 217: Mlemavu aliye juu ya kiti cha magurudumu analazimika kuajiri mtu wa kumsukuma kwa ajili ya swalah ya mkusanyiko?
Jibu: Hapana, si lazima kwake. Ni mwenye kupewa udhuru. Na akifanya hivo, basi Allaah atamlipa kheri.
218 – Je, haisemwi: “Kitu ambacho wajibu haukamiliki isipokuwa kwacho, basi nacho ni wajibu”?
Jibu: Huyu ni mlemavu. Anajikokota kwa kutambaa na anayejikokota kwa kutambaa si wajibu kuhudhuria [… wangeliiendea ijapo kwa kutambaa].
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 90-91
Imechapishwa: 02/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-mkusanyiko-kwa-anayesukumwa-kwenye-kiti-cha-magurudumu-ii/