Swali: Mimi ni askari polisi. Naendesha gari la polisi peke yangu na siwezi kuswali pamoja na mkusanyiko. Ni hukumu ya hilo? Je, nina dhambi katika jambo hili?
Jibu: Unapaswa kuswali pamoja na mkusanyiko, isipokuwa ikiwa upo katika ulinzi wa kituo au eneo. Katika hali hiyo ni wajibu wako ulinde sehemu yako hadi zamu ya mwingine ifike, kisha uswali pale ulipo. Ama ikiwa ni kwa ajili ya kuzunguka tu, basi pindi muda wa swalah unapofika, simamisha gari karibu na msikiti wowote na uswali pamoja na watu. Kazi yako ya polisi si kisingizio cha kuacha mkusanyiko. Swali popote gari lako litakapofikia karibu na msikiti katika mzunguko wako.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30004/حكم-صلاة-الجماعة-لمن-يعملون-في-الشرطة
- Imechapishwa: 26/08/2025
Swali: Mimi ni askari polisi. Naendesha gari la polisi peke yangu na siwezi kuswali pamoja na mkusanyiko. Ni hukumu ya hilo? Je, nina dhambi katika jambo hili?
Jibu: Unapaswa kuswali pamoja na mkusanyiko, isipokuwa ikiwa upo katika ulinzi wa kituo au eneo. Katika hali hiyo ni wajibu wako ulinde sehemu yako hadi zamu ya mwingine ifike, kisha uswali pale ulipo. Ama ikiwa ni kwa ajili ya kuzunguka tu, basi pindi muda wa swalah unapofika, simamisha gari karibu na msikiti wowote na uswali pamoja na watu. Kazi yako ya polisi si kisingizio cha kuacha mkusanyiko. Swali popote gari lako litakapofikia karibu na msikiti katika mzunguko wako.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30004/حكم-صلاة-الجماعة-لمن-يعملون-في-الشرطة
Imechapishwa: 26/08/2025
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-mkusanyiko-kwa-afisa-polisi/