Swali: Swalah ya ijumaa hupatikana kwa kiasi gani? Je, kuna makinzano katika hilo? Ni ipi dalili juu ya maoni yenye nguvu?
Jibu: Swalah ya ijumaa huwahiwa kwa kumuwahi imamu katika Rak´ah moja. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Yule mwenye kudiriki Rak´ah moja ya swalah ya ijumaa, basi ameiwahi ijumaa.”
Vivyo hivyo swalah ya mkusanyiko inawahiwa kwa Rak´ah moja. Ikiwa imamu atainua kichwa chake kutoka katika Rak´ah ya pili ya ijumaa, basi ataswali Rak´ah nne na hivyo ijumaa itakuwa imempita.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
- Imechapishwa: 07/10/2026
Swali: Swalah ya ijumaa hupatikana kwa kiasi gani? Je, kuna makinzano katika hilo? Ni ipi dalili juu ya maoni yenye nguvu?
Jibu: Swalah ya ijumaa huwahiwa kwa kumuwahi imamu katika Rak´ah moja. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Yule mwenye kudiriki Rak´ah moja ya swalah ya ijumaa, basi ameiwahi ijumaa.”
Vivyo hivyo swalah ya mkusanyiko inawahiwa kwa Rak´ah moja. Ikiwa imamu atainua kichwa chake kutoka katika Rak´ah ya pili ya ijumaa, basi ataswali Rak´ah nne na hivyo ijumaa itakuwa imempita.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
Imechapishwa: 07/10/2026
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-ijumaa-inawahiwa-lini/