Swali: Msafiri alijiunga na imamu anayeswali Maghrib, naye anataka kuswali ´Ishaa kwa kufupisha. Kwa hivyo akakaa wakati imamu aliposimama katika Rak´ah ya tatu. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana juu ya suala hili. Baadhi ya wanazuoni wanaona kwamba katika hali hii ana udhuru. Lililo bora katika mfano wa hali hii ni kuswali pamoja naye swalah ya kujitolea kisha atoe salamu, kwa sababu swalah hizo ni tofauti. Lakini ikiwa swalah hizo si tofauti, kama Dhuhr na ´Aswr, basi hakuna ubaya kwa msafiri kuswali nyuma yake, lakini anatakiwa kuswali kwa kukamilisha.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
- Imechapishwa: 07/10/2026
Swali: Msafiri alijiunga na imamu anayeswali Maghrib, naye anataka kuswali ´Ishaa kwa kufupisha. Kwa hivyo akakaa wakati imamu aliposimama katika Rak´ah ya tatu. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana juu ya suala hili. Baadhi ya wanazuoni wanaona kwamba katika hali hii ana udhuru. Lililo bora katika mfano wa hali hii ni kuswali pamoja naye swalah ya kujitolea kisha atoe salamu, kwa sababu swalah hizo ni tofauti. Lakini ikiwa swalah hizo si tofauti, kama Dhuhr na ´Aswr, basi hakuna ubaya kwa msafiri kuswali nyuma yake, lakini anatakiwa kuswali kwa kukamilisha.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
Imechapishwa: 07/10/2026
https://firqatunnajia.com/msafiri-anayeswali-ishaa-nyuma-ya-imamu-mkazi-amekamilisha-swalah-yake-kabla-ya-imamu/