Swali: Mimi huswali swalah ya haja wakati ninapokuwa na haja maalum au pindi nahitaji kitu maalum. Je, swalah hii ina msingi? Nimesoma kwamba ni Rak´ah mbili na mtu anaomba du´aa baada ya hizo Rak´ah mbili?
Jibu: Ndio, hii imepokelewa katika Hadiyth na kwamba mtu akiwa na haja aswali Rak´ah mbili kisha amuombee Allaah haja yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ´alaa al-Hawaa´ http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1436-03-02.mp3
- Imechapishwa: 01/12/2017
Swali: Mimi huswali swalah ya haja wakati ninapokuwa na haja maalum au pindi nahitaji kitu maalum. Je, swalah hii ina msingi? Nimesoma kwamba ni Rak´ah mbili na mtu anaomba du´aa baada ya hizo Rak´ah mbili?
Jibu: Ndio, hii imepokelewa katika Hadiyth na kwamba mtu akiwa na haja aswali Rak´ah mbili kisha amuombee Allaah haja yake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa ´alaa al-Hawaa´ http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1436-03-02.mp3
Imechapishwa: 01/12/2017
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-haja-ni-sahihi/