Swalah ya ambaye hakuosha tupu yake baada ya kutokwa na madhiy

118 – Nilimuuliza Shaykh ni ipi hukumu ya mtu aliyeswali bila kuosha sehemu zake za siri baada ya kutokwa na madhiy?

Jibu: Kuna maoni tofauti juu ya hilo, kisha akaeleza kuwa sahihi ni wajibu kuyaosha na kurudia swalah upya.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 62
  • Imechapishwa: 18/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´