Swalah kwa wakazi wa Makkah Minaa

Swali: Wakazi wa Makkah Minaa wanaswali kwa kufupisha au kwa kukamilisha?

Jibu: Wataswali pamoja na wengine. Wakihiji na wengine wataswali na wengine.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31498/هل-يقصر-حجاج-مكة-الصلاة-في-منى
  • Imechapishwa: 25/10/2025