Swali: Vipi kuhusu kujitia manukato ya cologne? Inafaa kwa mtu kuswali na nguo hizo ikiwa amezitia manukato hayo?
Jibu: Ikiwa asiimia ya pombe ni kubwa basi bora mtu ajiepushe kujipuliza nayo. Na ikiwa asilimia ni kidogo hapana vibaya. Kuhusu swalah iliyoswali kwa manukato hayo ni sahihi kwa hali yoyote.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/370)
- Imechapishwa: 19/04/2026
Swali: Vipi kuhusu kujitia manukato ya cologne? Inafaa kwa mtu kuswali na nguo hizo ikiwa amezitia manukato hayo?
Jibu: Ikiwa asiimia ya pombe ni kubwa basi bora mtu ajiepushe kujipuliza nayo. Na ikiwa asilimia ni kidogo hapana vibaya. Kuhusu swalah iliyoswali kwa manukato hayo ni sahihi kwa hali yoyote.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/370)
Imechapishwa: 19/04/2026
https://firqatunnajia.com/swalah-baada-ya-kujipuliza-manukato-yenye-kileo/