Swali: Soksi inayosihi?
Jibu: Soksi inayofunika, ijapo imetengenezwa kwa pamba. Sio lazima itengenezwe kwa ngozi. Soksi inayofunika ngozi inatosha.
Swali: Vipi inayoshuka mpaka vifundoni, lakini imechanika?
Jibu: Iwe nzima. Kuchanika kidogo kunasamehewa.
Swali: Je, inajuzu kupangusa juu ya soksi yenye uwazi?
Jibu: Ni lazima ifunike ngozi. Ikiwa haifuniki, wanazuoni wamesema kuwa haisihi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29365/ما-مواصفات-الجورب-الذي-يجوز-المسح-عليه
- Imechapishwa: 11/07/2025
Swali: Soksi inayosihi?
Jibu: Soksi inayofunika, ijapo imetengenezwa kwa pamba. Sio lazima itengenezwe kwa ngozi. Soksi inayofunika ngozi inatosha.
Swali: Vipi inayoshuka mpaka vifundoni, lakini imechanika?
Jibu: Iwe nzima. Kuchanika kidogo kunasamehewa.
Swali: Je, inajuzu kupangusa juu ya soksi yenye uwazi?
Jibu: Ni lazima ifunike ngozi. Ikiwa haifuniki, wanazuoni wamesema kuwa haisihi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29365/ما-مواصفات-الجورب-الذي-يجوز-المسح-عليه
Imechapishwa: 11/07/2025
https://firqatunnajia.com/soksi-inayosihi-kupangusa-juu-yake/