al-Ikhwaan na Jamaa´at-ut-Tabliygh sio katika watu wenye mfumo ulio sahihi. Hakika makundi yote na majina hayana msingi kwa Salaf wa Ummah huu. Kundi la kwanza lililozusha na likabeba jina ni kundi la Shiy´ah ambao walijiita ´Shiy´ah`. Kuhusu Khawaarij hakuwa wakijiita zaidi ya jina la ´waumini`.
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ´Ulamaa-ul-Kibaar fiy al-Irhaab wat-Tadmiyr, uk. 424
- Imechapishwa: 19/01/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket