Sio wakazi wa miji ndio wenye kuamua

Swali: Mtu mwenye kuhamahama kati ya miji miwili ambayo masafa yake ni kilomita 100. Lakini hata hivyo haizingatiwi kuwa safari kwa wakazi wa miji hiyo. Je, atendee kazi desturi…

Jibu: Hukumu hazikufungamana na wakazi wa miji; hukumu imefungamana na Shari´ah. Yule mwenye kusafiri kilomita zisizopungua 80 basi ni msafiri na hivyo atendee kazi hukumu za safari.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 26/11/2019