Swali: Vipi kwa mfungaji kudunga sindano?

Jibu: Wako wanazuoni wenye kusema asidunge ikiwa ni sindano ya lishe. Na kama ni zile sindano za kawaida adunge. Tumeshatangulia kumshauri mgonjwa kwamba afungue ili swawm yake isiwe mashakani kisha atalipa baadaye.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 79
  • Imechapishwa: 17/03/2024