Swali: Ni ipi hukumu ya kuwapa zakaah familia fakiri lakini sijui wanafamilia wanaswali au hawaswali?
Jibu: Wakiwa wanaishi katika nchi ya Kiislamu na wako pamoja na waislamu na ni wahitaji, wape.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (89) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-08-07-1439.lite__0.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kuwapa zakaah familia fakiri lakini sijui wanafamilia wanaswali au hawaswali?
Jibu: Wakiwa wanaishi katika nchi ya Kiislamu na wako pamoja na waislamu na ni wahitaji, wape.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (89) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-08-07-1439.lite__0.mp3
Imechapishwa: 22/08/2018
https://firqatunnajia.com/sijui-kama-familia-wanaswali/