Swali: Ni ipi daraja ya Hadiyth inayosema kwamba mmoja wa Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anh) alipita kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiwa na vipimo vitatu vya ngano ili ampe dada yake ambaye mume wake amefariki na ana watoto mayatima, kisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akatabasamu na kusema kwamba alikuwa amebakiwa na siku tatu za kuishi lakini kwa sababu ya kumfanyia wema dada yake, basi Allaah akaongeza umri wake miaka thelathini – kwa kila kipimo miaka kumi? Ni upi usahihi wa haya?
Jibu: Sijui Hadiyth hii wala siifahamu. Sidhani kuwa ni Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3319/درجة-حديث-انه-بقي-في-اجله-ثلاثة-ايام-وبسبب-صلته
- Imechapishwa: 13/08/2026
Swali: Ni ipi daraja ya Hadiyth inayosema kwamba mmoja wa Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anh) alipita kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiwa na vipimo vitatu vya ngano ili ampe dada yake ambaye mume wake amefariki na ana watoto mayatima, kisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akatabasamu na kusema kwamba alikuwa amebakiwa na siku tatu za kuishi lakini kwa sababu ya kumfanyia wema dada yake, basi Allaah akaongeza umri wake miaka thelathini – kwa kila kipimo miaka kumi? Ni upi usahihi wa haya?
Jibu: Sijui Hadiyth hii wala siifahamu. Sidhani kuwa ni Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3319/درجة-حديث-انه-بقي-في-اجله-ثلاثة-ايام-وبسبب-صلته
Imechapishwa: 13/08/2026
https://firqatunnajia.com/siijui-na-wala-sifikirii-kuwa-ni-swahiyh/