Swali: Baadhi ya watu wanaanza kuitoa Zakaat-ul-Fitwr kwa muda wa siku saba au siku tano kabla ya idi?
Jibu: Hapana. Haisihi isipokuwa muda wa siku moja au mbili kabla ya idi. Kuitoa usiku wa kuamkia idi mpaka pale imamu atapotoka kwenda kuswali swalah ya idi. Huu ndio wakati wake bora wa kuitoa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/16995
- Imechapishwa: 01/06/2019
Swali: Baadhi ya watu wanaanza kuitoa Zakaat-ul-Fitwr kwa muda wa siku saba au siku tano kabla ya idi?
Jibu: Hapana. Haisihi isipokuwa muda wa siku moja au mbili kabla ya idi. Kuitoa usiku wa kuamkia idi mpaka pale imamu atapotoka kwenda kuswali swalah ya idi. Huu ndio wakati wake bora wa kuitoa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/16995
Imechapishwa: 01/06/2019
https://firqatunnajia.com/si-sahihi-kutoa-zakaat-ul-fitwr-wiki-moja-kabla/