Swali: Kuna wanaosema kwamba miongoni mwa Raafidhwah wako wenye Bid´ah ya ukafiri na wako wenye Bid´ah ya ufasiki. Je, mgawanyo huu ni sahihi?
Jibu: Raafidhwah mafungu mbalimbali. Shahrastaaniy ametaja kwamba wako makundi ishirini na mawili. Raafidhwah wako makundi mengi ya Shiy´ah. Lakini Raafidhwah wa Imaamiyyah wamechupa mipaka kwa ´Aliy na watu wa nyumbani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), wanasema kwamba wanajua mambo yaliyofichikana na wanawaabudu. Hao ni makafiri. Lakini baadhi ya Shiy´ah hawako hivo. Wale wenye kuona kuwa ´Aliy ni mbora zaidi juu ya ´Uthmaan, juu ya as-Swiddiyq na ´Umar ni wazushi na hawakufuru. Kadhalika miongoni mwao wako Zaydiyyah ambao wanaona kuwa ´Aliy ni mbora zaidi juu ya ´Uthmaan.
Swali: Anayewakufurisha anafanya hivo kwa wote au kwa aina?
Jibu: Aliyejulikana kwa nafsi yake kwamba anadai kujua mambo yaliyofichikana na anachupa mipaka kwa watu wa nyumbani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anakufurishwa kwa dhati yake. Ni katika aina ya wale waliomwabudu ´Aliy au wengineo, basi huyo ni kafiri. Aidha akadai kwamba anajua mambo yaliyofichikana, basi huyo ni kafiri.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31052/هل-بدعة-الرافضة-مكفرة-ام-مفسقة
- Imechapishwa: 26/09/2025
Swali: Kuna wanaosema kwamba miongoni mwa Raafidhwah wako wenye Bid´ah ya ukafiri na wako wenye Bid´ah ya ufasiki. Je, mgawanyo huu ni sahihi?
Jibu: Raafidhwah mafungu mbalimbali. Shahrastaaniy ametaja kwamba wako makundi ishirini na mawili. Raafidhwah wako makundi mengi ya Shiy´ah. Lakini Raafidhwah wa Imaamiyyah wamechupa mipaka kwa ´Aliy na watu wa nyumbani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), wanasema kwamba wanajua mambo yaliyofichikana na wanawaabudu. Hao ni makafiri. Lakini baadhi ya Shiy´ah hawako hivo. Wale wenye kuona kuwa ´Aliy ni mbora zaidi juu ya ´Uthmaan, juu ya as-Swiddiyq na ´Umar ni wazushi na hawakufuru. Kadhalika miongoni mwao wako Zaydiyyah ambao wanaona kuwa ´Aliy ni mbora zaidi juu ya ´Uthmaan.
Swali: Anayewakufurisha anafanya hivo kwa wote au kwa aina?
Jibu: Aliyejulikana kwa nafsi yake kwamba anadai kujua mambo yaliyofichikana na anachupa mipaka kwa watu wa nyumbani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anakufurishwa kwa dhati yake. Ni katika aina ya wale waliomwabudu ´Aliy au wengineo, basi huyo ni kafiri. Aidha akadai kwamba anajua mambo yaliyofichikana, basi huyo ni kafiri.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31052/هل-بدعة-الرافضة-مكفرة-ام-مفسقة
Imechapishwa: 26/09/2025
https://firqatunnajia.com/shiyah-wako-mafungu-mengi/