Sikukuu ya ndoa kila mwaka au sikukuu nyenginezo ni maovu. Ni kujifananisha na maadui wa Allaah. Ni mambo hayana msingi. Bali ni wajibu kuyakemea na kuyatokomeza.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1212/هل-الاحتفال-بيوم-الزواج-مشروع
  • Imechapishwa: 08/02/2026