Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Mwenye kuuliwa kwa sababu ya kumtetea mwanamke wake amekufa shahidi.”

Hapa anakusudiwa mke wa mtu…

Jibu: Hapana. Anakusudiwa mke wake na wanawake wengine wote, akiwemo dada yake, shangazi yake na mama yake mdogo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
  • Imechapishwa: 05/07/2024