Swali 176: Je, inajuzu kuunganisha ´Aswr na swalah ya ijumaa?

Jibu: Hapana. Salama zaidi ni kuacha hilo, kwani hatukuhifadhi kutoka kwa yeyote miongoni mwa Salaf kuwa alifanya hivyo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 75
  • Imechapishwa: 04/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´