Swali: Je, ni katika mfumo wa Salaf kujinasibisha na makundi na kuingia katika ubunge? Kwa kuwa tunaona siku hizi makundi ya siasa yanajinasibisha na Salafiyyah.

Jibu: Salafiyyah sio madai tu. Salafiyyah ni kuwa katika mfumo wa Salaf katika ´Aqiydah, ´ibaadah na tabia. Sio madai tu kila mmoja anadai Salafiyyah na yeye kachukua mifumo inayokhalifiana na yale waliokuwemo Salaf.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.subulsalam.com/site/audios/alfozan/divers/130.Asalafiya7aqi qatoha-…
  • Imechapishwa: 09/04/2022