Swali: Je, bora ni kuwa karibu na Khatwiyb siku ya ijumaa au ambaye yuko katika safu ya kwanza?

Jibu: Ambaye yuko katika safu ya kwanza.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (21)
  • Imechapishwa: 29/08/2021