Swali: Maneno yaliyosemwa kwa kuachiwa ya Ahl-ul-Bid´ah yafasiriwe kwa maneno yao yaliyosemwa kwa kufungwa?
Jibu: Maneno yaliyosemwa kwa kuachiwa yanafasiriwa kwa maneno yaliyosemwa kwa kufungwa inapokuja katika maandiko ya Qur-aan na Sunnah. Hapa ndipo kunafasiriwa maneno yaliyotajwa kwa kuachiwa kwa maneno yaliyosemwa kwa kufungwa; maneno ya Allaah na Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oMoaMLGx4k0
- Imechapishwa: 26/11/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)