Swali: Je, ni Sunnah kabla ya Dhuhr kuswali Rak´ah nne na baada yake nne?
Jibu: Ndio bora na kamilifu zaidi; Rak´ah nne kabla yake na nne baada yake. Hili ndio kamilifu zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-13.mp3
- Imechapishwa: 09/06/2018
Swali: Je, ni Sunnah kabla ya Dhuhr kuswali Rak´ah nne na baada yake nne?
Jibu: Ndio bora na kamilifu zaidi; Rak´ah nne kabla yake na nne baada yake. Hili ndio kamilifu zaidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-13.mp3
Imechapishwa: 09/06/2018
https://firqatunnajia.com/raatibah-kamilifu-kabla-na-baada-ya-dhuhr/