Qur-aan kwa mwenye janaba kama nyuradi

119 – Nilimuuliza Shaykh ni ipi hukumu ya mtu mwenye janaba kusoma Qur-aan kwa njia ya nyuradi?

Jibu: Asisome Qur-aan mpaka aoge.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 62
  • Imechapishwa: 18/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´