Swali: Inajuzu kusema kuwa Qur-aan ina maana ya udhahiri na ya undani?
Jibu: Msemo huu kwamba Qur-aan ina maana ya udhahiri na ya undani ni msemo wa wakanamungu (Malaahidah). Wao ndio wanasema kuwa maandiko yote yana maana ya udhahiri na ya undani. Maana ya udhahiri ni ya waislamu na maana ya undani ni ya kwao. Qur-aan ina maana yenye kujulikana na ilio wazi. Hakuna kitu kilichofichikana. Vivyo hivyo Sunnah.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-Qaa´idah al-Marraakushiyyah (04)
- Imechapishwa: 30/04/2020
Swali: Inajuzu kusema kuwa Qur-aan ina maana ya udhahiri na ya undani?
Jibu: Msemo huu kwamba Qur-aan ina maana ya udhahiri na ya undani ni msemo wa wakanamungu (Malaahidah). Wao ndio wanasema kuwa maandiko yote yana maana ya udhahiri na ya undani. Maana ya udhahiri ni ya waislamu na maana ya undani ni ya kwao. Qur-aan ina maana yenye kujulikana na ilio wazi. Hakuna kitu kilichofichikana. Vivyo hivyo Sunnah.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh al-Qaa´idah al-Marraakushiyyah (04)
Imechapishwa: 30/04/2020
https://firqatunnajia.com/qur-aan-ina-maana-ya-udhahiri-na-ya-undani/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)