Jipime maarifa yako kuhusu twahara na swalah

Chemsha Bongo ya twahara na swalah 10

15:00

Imesuniwa kufanya nini kabla ya kuanza kuswali na viatu?

Ni vipi vinasafishwa viatu vilivyo na najisi ili mtu aweze kuswali navyo?

Swalah ya kupatwa kwa jua ilitokea mara ngapi wakati wa Mtume?

Vipi Sujuud ya ambaye pua yake haikugusa ardhi?

Ni lini mtu anazingatiwa amewahi Rakah katika swalah ya kupatwa kwa jua?

Vipi wudhuu wa ambaye amegusa au amekanyaga kinyesi au mkojo?

Ni safari ya umbali kiasi gani inamruhusu msafiri kufupisha swalah yake?

Nini cha kufanya wakati mtu anatoa salamu wakati uko ndani ya swalah?

Ni vipi unasafishwa mkojo wa mtoto mchanga?

Kuna Dhikr maalum ya kusema kabla ya kuanza kuswali na kama ipo ni ipi?

Ni vipi inaondoshwa najisi iliyoingia kwenye nguo lakini hajui ni wapi?

Ni nini hukumu ya kuleta Qunuut katika swalah ya Fajr?

Ni ipi hukumu ya kusoma Aayah za Qur-aan za dua kwenye Sujuud?

Je, kuna swalah ya Sunnah kabla ya Maghrib?

Ni maeneo gani imesuniwa kwa mswaliji kukithirisha kuomba dua ndani ya swalah?

Ni kitu gani cha kwanza katika matendo ya waja Allaah atakifanyia hesabu siku ya Qiyaamah?

Ni vipi inaondoshwa najisi iliyoingia kwenye ardhi?

Ni ipi hukumu ya msafiri anayeswali nyuma ya imamu mkazi?

Ni lini mtu anazingatiwa ameswali swalah ndani ya wakati wake?

Ni sehemu gani mswaliji anakuwa karibu zaidi na Mola wake ndani ya swalah?

Ni vipi inaondoshwa najisi iliyoingia kwenye mkeka lakini hajui khasa ni wapi?

Kama mtu amekosa Raatibah ya Fajr anaweza kuiswali lini?