Jipime maarifa yako kuhusu ´Aqiydah sahihi

Chemsha Bongo ya ´Aqiydah sahihi

15:00

Ni nani Mtume wa mwisho?

Je, maneno ya Allaah yanafupilizika juu ya Qur-aan pekee?

Ni aina gani ya ´ibaadah kubwa zaidi aliyoamrisha Allaah?

Ni aina gani ya maasi na dhambi kubwa zaidi aliyokataza Allaah?

Je, inafaa kuashiria juu kwa kidole kwamba Allaah yuko juu?

Ni nani Mtume wako?

Ni nini maana ya Allaah?

Ni ngapi nguzo za Uislamu?

Allaah yuko wapi?

Kuna vigawanyo vingapi vya Tawhiyd?

Unafiki umegawanyika aina ngapi?

Ni ngapi nguzo za imani?

Ihsaan ni kitu gani?

Ni nani Mtume wa kwanza?

Ni aina zipi za unafiki?

Mtume alitumilizwa kwa Suurah na akawa Nabii kwa Suurah gani?

Ni dhambi ipi kubwa zaidi ambayo Allaah hamsamehi mwenye kufa juu yake?

Ni upi msimamo sahihi wa muislamu juu ya Qur-aan?

Mitume walitumilizwa kuwafikishia wafuasi wao aina ipi ya Tawhiyd?

Ni ipi hukumu ya kuchinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah?

Ni upi msimamo sahihi juu ya sifa za Allaah zilizotajwa ndani ya Qur-aan na Sunnah?

Allaah amekuumba kwa ajili ya lengo gani?