Jipime maarifa yako kuhusu siku na swalah ya idi

Chemsha Bongo siku na swalah ya idi

08:20

Ni wakati gani inatakiwa kutoa adhaana ya idi?

  • Swalah ya idi haina adhaana

Ni Sunnah kusoma Suurah ipi baada ya al-Faatihah katika Rakah ya kwanza ya swalah ya idi?

  • al-Baqarah

Je, ni wajibu kwa mwanamke kwenda kuswali idi?

  • Watu wazima pekee

Swalah ya idi inaswaliwa Rakah ngapi?

  • Rak'ah tatu

Takbiyr za idi zinaanza lini?

  • Baada ya jua kuchomoza siku ya idi

Ni ipi hukumu ya kuleta Takbiyr kwa pamoja kwa namna ya kukusudia kuanza na kumaliza kwa pamoja?

  • Ni Bid'ah
  • Yote ni sawa tu

Ni lini unaanza muda wa swalah ya idi?

  • Usiku wa kuamkia idi
  • Mchana baada ya adhuhuri

Ni ipi Sunnah ya njia ya kwenda na kurudi kwenye swalah ya idi?

  • Kupitia njia ile ile aliyokuja nayo
  • Kubaki msikitini baada ya swalah

Ni Sunnah kusoma Suurah ipi baada ya al-Faatihah katika Rakah ya pili ya swalah ya idi?

  • al-Baqarah
  • al-Ghaashiyah

Ni Sunnah ipi katika hizi inatakiwa kabla ya kwenda kuswali swalah ya idi?

  • Kufunga siku ya idi
  • Kula tende kwa idadi ya witiri

Ni ipi hukumu ya kuswali swalah ya idi?

  • Ni Sunnah tu ya kawaida
  • Ni wajibu tu kwa imamu