Jipime maarifa yako kuhusu Tawhiyd na shirki
Chemsha Bongo masuala ya Tawhiyd na shirki 03
15:00
Kuomba dua kwa Nabii Muhammad baada ya kufa ni nini?
- Upendo wa Sunnah
- Tawhiyd ya Nabii
- Shirki
Kufanya ibaadah kwa ajili ya mali au sifa ni nini?
- Shirki
- Ushawishi wa jamii
- Shukrani ya mafanikio
Kuamini kuwa Allaah hastahili kuabudiwa peke yake ni nini?
- Imani ya Mitume
- Shirki
- Uwezo mdogo wa binadamu
Kumtanguliza Allaah mbele ya kila jambo ni nini?
- Sharti ya du´aa
- Tawhiyd
- Mazoea ya waumini
Kumchinja mnyama kwa jina la mtu ni nini?
- Shirki
- Swadaqah ya asili
- Tawhiyd ya mila
Kusema (nimepata mtoto kwa nguvu zangu) bila kumshukuru Allaah ni nini?
- Furaha ya kawaida
- Shirki ndogo
- Kujisifu tu
Kusema (bahati imenisaidia) bila kumtaja Allaah ni nini?
- Shirki ndogo
- Usemi wa kawaida
- Mithali ya zamani
Ni ipi hukumu ya kuweka nadhiri kwa walii?
- Ni sunnah
- Ni heshima
- Ni shirki kubwa
Kufanya ibaadah kwa nia ya kuonekana na watu ni nini?
- Shriki ndogo
- Ujasiri wa kidini
- Tawhiyd ya matendo
Kuamini kuwa mtu fulani anaweza kutimiza haja zako zote bila msaada wa Allaah ni nini?
- Tawakkul sahihi
- Shirki
- Shukrani ya kusaidiwa
Ni ipi hukumu ya kuwaomba Malaika?
- Hapana vibaya kwa.s ni waja wema
- Shirki
- Mazoea ya baadhi ya watu
Kumtegemea kikamilifu mtu binafsi kwa riziki ni nini?
- Tawhiyd ya kutenda kazi
- Shirki katika uola
- Shukrani ya kazi
Kumsifu mtu hadi kumpa sifa ya kimungu ni nini?
- Shirki kubwa
- Heshima ya kawaida
- Adabu ya mdomo
Ni ipi hukumu ya kusema (Allaah anapumzika)?
- Shirki katika sifa
- Mithali ya kizazi
- Tafsiri ya kiroho
Kufanya ibaadah yoyote kwa ajili ya kiumbe ni nini?
- Tawhiyd ya vitendo
- Shirki
- Swadaqah ya kawaida
Kuamini Allaah ana mwana ni nini?
- Tawhiyd ya kikristo
- Shirki kubwa
- Shirki ndogo
Kusema (bila daktari huyu nisingepona) bila kumtaja Allaah ni nini?
- Shukrani ya kawaida
- Shirki ndogo
- Kuonyesha furaha
Kuabudu kaburi la mtakatifu ni nini?
- Ishara ya heshima
- Shirki
- Sunnah ya Ahl-ul-Bayt
Kufanya kazi kwa bidii na huku ukimtegemea Allaah ni nini?
- Shirki
- Tawakkul
- Mazoea ya wacha Mungu
Kumshukuru Allaah kwa kila hali ni nini?
- Tawhiyd ya matendo
- Sharti ya du´aa
- Heshima ya imani
Kuomba dua au msaada kwa mtu aliyefariki kwa imani kuwa anajibu ni nini?
- Sunnah ya kutukuza
- Upendo wa walii
- Shirki kubwa
Kumpa Mtume Muhammad sifa za kiungu ni nini?
- Upendo halali
- Heshima ya kawaida
- Shirki