Jipime maarifa yako kuhusu Tawhiyd na shirki

Chemsha Bongo masuala ya Tawhiyd na shirki

15:00

Ni elimu ipi katika hizi ambazo mwenye kutoijua hapewi udhuru kwayo?

Ni ipi elimu bora na tukufu zaidi katika hizi?

Ni maneno yepi katika haya yenye uzito zaidi kwenye mizani siku ya Qiyaamah?

Kuigawanya Tawhiyd aina tatu ni kumgawanya Allaah sehemu tatu?

Ni maneno gani ambayo mtu akiyatamka inasalimika kumwagwa damu yake na kuchukuliwa mali yake?

Ni maneno yepi bora yaliyosemwa na Mtume na Mitume wengine wote kabla yake?

Ni ipi haki ya Allaah kubwa zaidi juu ya waja?

Shahaadah ina nguzo ngapi?

Ni zipi katika hizi ni sharti za shahaadah?

Ni maneno gani ya mwisho mtu akiyatamka wakati wa kufa anaingia Peponi?

Ni zipi katika hizi ni sharti za shahaadah?

Ni yepi yaliyosihi katika haya?

Ni ipi ilikuwa kauli mbiu ya Mitume wote?

Ni kipi katika haya ni sahihi?

Ni ipi nguzo ya kwanza ya Uislamu?

Ni yupi mwenye dhambi kubwa zaidi kati ya anayemzini mama yake na anayejikurubisha kwa majini kwa kuwachinjia kindege?

Mtume alikaa Makkah miaka mingapi akiwalingania watu katika Tawhiyd kabla ya jambo jengine lolote?

Kuna matarajio ya mtu kusamehewa akikutana na Allaah na madhambi yote pasipo shirki?

Ni Tawhiyd ipi inayomfanya mtu kuwa muislamu na muhimu zaidi?

Ni kipi katika haya ni sahihi?

Ni kipi katika haya ni sahihi?

Shahaadah ina sharti ngapi?