Jipime maarifa yako kuhusu Qur-aan

Chemsha Bongo kuhusu Qur-aan 05

15:00

Aayah ipi inasema (Leo nimewakamilishieni dini yenu…)?

Ni Suurah ipi inaeleza miujiza ya Muusa mbele ya Fir´awn?

Ni Suurah gani inaanza kwa kuapa kwa wakati wa ´Aswr?

Ni Suurah gani iliteremshwa kwa sababu ya kuulizwa kuhusu Dhul-Qarnayn?

Suurah ipi inasimulia kisa cha Nabii Yuusuf kwa kina?

Ni Suurah gani imeamrisha kwa dhahiri kuvunja masanamu?

Ni Suurah gani inataja visa vya Bani israaiyl kwa upana?

Ni Suurah gani Aayah zake zilishuka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiwa ndani ya pango la Hiraa?

Ni Suurah ipi inazungumzia Muujiza wa kurushiwa moto Nabii Ibraahiym?

Ni Suurah ipi iliteremshwa yote mara moja badala ya sehemu kwa sehemu?

Ni Suurah ipi inahusu tukio la bi. ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) kusingiziwa machafu?

Ni Suurah gani inazungumzia kuhusu kupasuka kwa mwezi?

Ni Suurah ipi inataja kuwa Qur-aan haijaletwa na mashetani?

Ni Suurah gani inazungumzia tukio la Mtume kusafirishwa usiku (al-Israa)?

Ni Suurah gani inaeleza kuhusu kuhifadhiwa kwa Qur-aan dhidi ya upotoshaji?

Ni Suurah gani inazungumzia mirathi kwa kina?

Ni Suurah ipi inazungumzia tukio la ndovu waliokuja kubomoa Ka´bah?

Ni Suurah gani inaelezea kuhusu kisa cha Nabii Ibraahiym na kuangalia nyota, mwezi na jua?

  • az-Zalzalah

Ni Suurah ipi inataja kuhusu moto wenye kulipuka?

  • al-´Aswr

Ni Suurah ipi inazungumzia kisa cha Qaruun?

  • al-Masad

Ni Suurah gani inayoeleza kuwa Qur-aan imeteremshwa katika mwezi wa Ramadhaan?

  • al-Ma´uun

Ni Suurah gani iliteremshwa kwa sababu ya kuulizwa kuhusu roho?

  • al-Kahf