Jipime maarifa yako kuhusu Qur-aan

Chemsha Bongo kuhusu Qur-aan 03

15:00

Ni Suurah gani ambayo imeeleza ushahidi wa mbingu na ardhi kuwa Allaah ni wa haki?

Ni Suurah gani ambayo ni sawa na thuluthi ya Qur-aan?

Aayah kuhusu mwanaume kuruhusiwa kuoa wake wanne ipo wapi?

Ni Suurah yenye Aayah nyingi kuhusu uumbaji?

Ni Suurah gani imetaja Malaika Haaruwt na Maaruwt?

Tukio la Allaah kumwambia Nuuh kujenga safina lipo wapi?

Aayah ya (Na hakika kwa kila mmoja kuna malaika walinzi) ipo wapi?

Ni Suurah gani inayotaja kwamba kula mali ya yatima ni kula moto?

Tukio la kufunguliwa bahari kwa Muusa liko wapi?

Ni Suurah gani inaeleza sababu ya kushuka Qur-aan hatua kwa hatua?

Ni Suurah gani ambayo inataja kubisha hodi kabla ya kuingia?

Ni Suurah gani imetajwa (Shajara tul-mal´uunah)?

Aayah ya maasi ya shaytwaan kwa Aadam iko wapi?

Ni Suurah gani Qur-aan imetajwa kama shifaa na rahmah?

Ni Suurah yenye Aayah inayokataza kusema kwa dhana?

Aayah ya mume na mke kufanyiana huruma iko wapi?

Aayah inayotaja kuvua nguo za Aadam na Hawwaa iko wapi?

Tukio la Ibraahiym kuvunjavunja masanamu liko wapi?

Ni Suurah gani ambayo kila Aayah yake imetaja neno Allaah mwanzo hadi mwisho?

Ni Suurah gani pekee inayotajwa wanyama kwa wingi?

Aayah ya kuwataka waume kutoa zawadi ya ndoa ipo wapi?

Aayah kuhusu kutohukumu kwa aliyoiteremsha Allaah ipo wapi?