Jipime maarifa yako kuhusu Qur-aan

Chemsha Bongo kuhusu Qur-aan 02

15:00

Aayah ya kuomba ruhusa kabla ya kuingia ipo wapi?

Ni Suurah gani imetaja mfano wa nyuki na faida zake?

Ni Suurah gani katika hizi inayoeleza juu ya kuzama kwa Fir´awn?

Ni Suurah gani inazungumzia wanadamu wameteremshiwa mavazi wafunike uchi wao?

Wana wa kiume wa Nabii Ya’quub walikuwa wangapi?

Ni Suurah gani inaitwa jina la mwanamke?

Ni nani aliyetajwa kuwa aliletewa chakula kutoka kwa Allaah akiwa mwenye mihrabu?

Ni nani aliyetajwa kuwa alifanya kazi ya kutengeneza silaha?

Ni Suurah gani inazungumzia historia ya Nabii Shu’ayb?

Ni Suurah gani Qur-aan ilianza kuteremshwa?

Ni Suurah gani inasimulia maangamizi ya Qawm ‘Aad?

Ni Suurah gani inazungumzia viumbe wa baharini na kuruhusu kula vilivyokufa humo?

Aayah ya nuru (Allaah nuru ya mbingu na ardhi) ipo wapi?

Tukio la kuanguka Saamiriy na ndama wake limetajwa wapi?

Aayah kuhusu kula, kunywa na kutofanya israfu iko wapi?

Ni Suurah gani sehemu yake ya mwanzo ina simulizi ya uumbaji wa mwanadamu kwa hatua?

Aayah kuhusu kulinda sehemu za siri na kuteremsha macho chini ipo wapi?

Ni Suurah gani Allaah anasema kuwa haoni haya kupiga mfano wa mbu?

Ni nani aliyetajwa kuwa alifufua wafu kwa idhini ya Allaah?

Ni Suurah gani ina Aayah kuhusu kuacha maasi ya ushoga?

Ni Suurah gani inazungumzia usiku wenye cheo?

Ni Suurah pekee ambayo swalah haikubaliwi bila kuisoma?