Jipime maarifa yako kuhusu Mtume Muhammad
Chemsha Bongo kuhusu Mtume Muhammad 06
15:00
Mtume ameharamisha kutumia mkono gani wakati wa kula?
- Kulia
- Kushoto
- Kijicho
Mtume alikuwa akichukia nini katika tabia ya mtu?
- Ukarimu
- Kiburi
- Uaminifu
Mtume ameharamisha nini katika nyama hizi?
- Nyama ya ngamia
- Nyama ya sungura
- Nyama ya paka
Mtume ameharamisha kwa mwanaume kuvaa mavazi gani katika haya?
- Hariri
- Suruwali
- Mavazi meusi
Mtume amefundisha nini baada ya kumaliza kula?
- Kuswali Sunnah
- Kusoma du´aa ya kumshukuru Allaah
- Kulala papo hapo
Mtume alipenda kula chakula akiwa katika hali gani?
- Amesimama
- Amelala
- Ameketi
Mtume alikuwa akichukia kula akiwa katika hali gani?
- Ameketi
- Amesimama
- Amelala
Mtume amesunisha kufanya nini kabla ya kulala?
- Kuoga
- Kuweka manukato
- Kufanya Adhkaar kwenye viganja vya mkono na kujifuta mwili mzima
Mtume ameharamisha nini katika nyama hizi?
- Nyama ya ngamia
- Nyama ya sungura
- Nyama ya punda
Mtume ameharamisha kutumia vyombo sampuli gani?
- Vyombo vya chuma
- Vyombo vya plastiki
- Vyombo vya dhahabu na fedha
Mtume alikuwa akipendelea kutumia mkono gani wakati wa kula?
- Wa kushoto
- Wa kulia
- Wa kati
Mtume alipendelea kufanya nini kabla ya kula?
- Kuosha mikono
- Kukaa na kutafakari
- Kusoma du´aa ya kuamka
Mtume ameharamisha kwa mwanaume kuvaa mavazi gani katika haya?
- Nguo inayovuka macho mawili ya miguu
- Mavazi ya thamani
- Mavazi meupe
Mtume alikuwa hapendi nini kuhusu maneno?
- Ukimya
- Porojo
- Kutoa salamu
Mtume alikuwa anapenda kutumia mswaki katika hali gani?
- Baada ya kula tu
- Kila wakati
- Mara moja kwa siku
Ni upande gani wa mwili Mtume alipenda kuanza nao akiwa anavaa?
- Kushoto
- Kulia
- Kati
Mtume alipenda harufu ya aina gani?
- Manukato mazuri
- Harufu ya mvuke wa mkaa
- Harufu ya samaki
Mtume alipenda aina gani ya mazungumzo?
- Majungu
- Maneno mazuri na ukweli
- Matusi ya kupamba
Mtume alikuwa akipenda kufanya nini kabla ya kula?
- Kutoa zakaah
- Kumtaja Allaah
- Kuswali
Ni aina gani ya mavazi aliyopendelea Mtume?
- Nguo ya hariri
- Kanzu nyeupe
- Joho la dhahabu
Mtume alikuwa na mapenzi gani kwa watoto?
- Aliwachukia
- Aliwapenda sana
- Aliwapuuza
Mtume alikuwa anapenda kula chakula kikiwa katika hali gani?
- Kikiwa baridi
- Kikiwa na moto
- Kikiwa na chumvi nyingi