Jipime maarifa yako kuhusu Mitume na Manabii
Chemsha Bongo kuhusu Mitume na Manabii 05
15:00
Mtume Muhammad alizikwa wapi?
- Makkah
- Madiynah
- Twaa-if
Mtume Muhammad alikuwa wa kabila gani?
- Quraysh
- Answaar
- Muhaajiruun
Mtume Muusa alilelewa wapi utotoni?
- Misri
- Shaam
- Madiyan
Mtume Muhammad alikuwa na watoto wangapi?
- 8
- 7
- 10
Ni mnyama gani aliyetumiwa na Allaah kumsafirisha Mtume Muhammad mbinguni?
- Farasi
- Buraaq
- Ngamia
Ni lipi jina la mama yake Mtume Muhammad?
- Khadiyjah
- Swafiyyah
- Aaminah
Mtume Muhammad alihamia Madiynah mwaka upi wa Hijrah?
- 1
- 3
- 5
Nani alikuwa baba wa Mtume Ibraahiym?
- Twaarih
- Aazar
- Swaalih
Mtume Luutw alitumwa kwa watu gani?
- Wana wa israaiyl
- Wamisri
- Qaum Luutw
Mtume Muhammad alizaliwa mwaka gani?
- Mwaka wa tembo
- Mwaka wa ngamia
- Mwaka wa ng´ombe
Ni Mtume gani alipewa Tawraat?
- Ibraahiym
- Muusa
- ´Iysaa
Mtume Yuunus aliingia kwenye nini alipomezwa?
- Samaki mkubwa
- Pango
- Pipa la maji
Mtume Muhammad alipewa Wahy wa Qur-aan kwa muda gani?
- 23
- 13
- 33
Mtume ´Iysaa alizaliwa vipi?
- Kwa baba na mama
- Hakuzaliwa
- Kwa mama pekee
Ni Mtume gani ambaye alizaliwa bila baba wala mama?
- Muusa
- Nuuh
- Aadam
Mtume Muhammad alizaliwa wapi?
- Madiynah
- Twaa-if
- Makkah
Ni nani aliyemlea Mtume Muhammad baada ya baba yake kufariki?
- Ami yake Abu Twaalib
- Mama yake
- Mjomba wake Abu Lahab
Mtume Muhammad alienda hijjah mara ngapi?
- 2
- 1
- 3
Mtume Muhammad alifariki wapi?
- Makkah
- Madiynah
- Twaa-if
Mtume Muhammad alianza kupokea wahy akiwa na umri gani?
- 30
- 50
- 40
Mtume Muhammad aliishi miaka mingapi Madiynah?
- 5
- 15
- 10
Nani alimuua Jaluti kwa idhini ya Allaah?
- Daawuud
- Sulaymaan
- Muusa