Jipime maarifa yako kuhusu Mitume na Manabii
Chemsha Bongo kuhusu Mitume na Manabii 04
15:00
Ni Mtume gani ambaye baba yake alikuwa akitengeneza masanamu yanayoabudiwa?
- Ibraahiym
- Zakariyyaa
- Huud
Ni Mtume gani aliyekuwa akiongea na wanyama mpaka sisimizi?
- Sulaymaan
- Daawuud
- Yuusuf
Ni nani aliumbwa bila ya mama wala baba?
- Aadam
- Muusa
- Daawuud
Ni Mtume gani aliyepata ufunuo akiwa pangoni?
- Muhammad
- Yuusuf
- Ibraahiym
Ni Mtume gani aliyetoka katika kizazi cha Daawuud?
- ´Iysaa
- Ibraahiym
- Haaruun
Ni Mtume gani ambaye maisha yake ilikuwa kufunga siku moja na kufungua siku ya kufuata?
- Daawuud
- Ibraahiym
- Luutw
Ni Mtume gani ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika?
- Muhammad
- Yahyaa
- Nuuh
Ni nani ambaye watu wake waliharibiwa kwa radi na mitetemeko?
- Thamuud
- ´Aad
- Swaalih
Ni Mtume gani ambaye watu wake walikuwa wakipima kwa mizani isiyo ya haki?
- Shu´ayb
- Luutw
- Swaalih
Ni Mtume gani ambaye watu wake walikuwa wakiingiza vidole vyao ndani ya masikio (wasimsikie) anapowalingania?
- Muusa
- Nuuh
- Aadam
Ni Mtume gani ambaye aliomba waangamizwe watu wake baada ya kuwalingania miaka 950?
- Yuusuf
- Muhammad
- Nuuh
Ni Mtume gani ambaye alisafiri kwa ajili ya kwenda kujifunza kwa Khadhir?
- Zakariyyaa
- Huud
- Muusa
Ni Mtume gani ambaye mama atamuua al-Masiyh ad-Dajjaal katika zama za mwisho?
- ´Iysaa
- Huud
- Swaalih
Ni Mtume gani ambaye Allaah amemtakasa mbali kutokana na uchawi?
- Ibraahiym
- Sulaymaan
- Muusa
Ni Mtume gani aliyetumwa kwa watu wa Madayinah?
- Ibraahiym
- Shu´ayb
- Luutw
Ni Mtume gani ambaye Allaah aliudhiwa sana na wana wa israaiyl?
- Muusa
- Haaruun
- Huud
Ni Mitume wangapi waliyotajwa kwa majina yao ndani ya Qur-aan?
- 25
- 100
- 10
Ni Mtume gani ambaye atafanya uombezi mkubwa ili watu wafanyiwe hesabu siku ya Qiyaamah?
- Muhammad
- Nuuh
- Daawuud
Ni nani aliyekuwa mtoto wa Ibraahiym na pia Mtume?
- Ishaaq
- Yahyaa
- Haruun
Ni Mtume gani ambaye mke wake alikuwa miongoni mwa waliokufuru?
- Nuuh
- Swaalih
- Ayyuub
Ni Mtume gani aliyezungumzishwa moja kwa moja na Allaah akiwa juu ya mlima?
- Muusa
- Haaruun
- Ibraahiym
Ni Mtume gani ambaye katika zama zake kaka na dada waliruhusiwa kuoana?
- Nuuuh
- Aadam
- Swaalih