Punyeto baada ya kutoka katika Ihraam ya kwanza

457 – Shaykh wetu aliulizwa kuhusu mtu aliyetokwa na manii baada ya kutoka katika Ihraam ya kwanza kwa kufanya punyeto?

Jibu: Salama zaidi ni yeye kuchinja kondoo/mbuzi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 161
  • Imechapishwa: 25/09/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´