Pombe kwa mtu aliyekufa juu ya Tawhiyd

33 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu Hadiyth inayosema:

“Yule mwenye kunywa pombe duniani hataifanywa Aakhirah.”

Vipi ikiwa mtu huyo alikufa juu ya Tawhiyd?

Jibu: Anaweza kuingia Peponi bila ya kuinywa. Kwa vyovyote vile hii ni miongoni mwa Hadiyth za matishio ambayo inatufaidisha makemeo. Kuna uwezekano vilevile Allaah akamsamehe na hivyo akaingia.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 37
  • Imechapishwa: 26/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´